Msaada :Tiba sahihi ya Keloids(Skin disease)

Msaada :Tiba sahihi ya Keloids(Skin disease)

Ndugu wana body naomba kujua dawa sahihi ya ngozi kuanzisha vijiuvimbe vinavyo washa then vinakua kadri siku zinavyo endelea. Kitaalamu huu ugonjwa unaitwa(KELOID).Naomba kuwasilisha.
Mkuu mimi ninayo dawa ya kukutibu hayo maradhi yako ya Keloid pasipo na kufanyiwa operesheni kukihitaji tiba toka kwangu nitafute kwa wakati wako nipatekukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Back
Top Bottom