Tafuta hiyo dawa farmas ni nzuri sana ndani ya siku 7 utaleta mrejesho bei yake ni 13000 au 15000Natumai mu wazima wa afya,
Kwa yeyote anayefahamu tiba ya kisonono anisaidie, nilikwenda hospital nikapewa dozi ya vidonge. Dozi ilikuwa ni metro siku 2,cpro siku 5 na doxn siku 7 lakini haikusaidia kitu. Nimerudi hospital tena nikaandikiwa sindano moja kila wiki kwa wiki tatu pamoja na vidonge. Nimechoma sindano lakini bado nafuu haipatikani. Hivyo bas kwa yeyote anayejua dawa tafadhari naomba anielekeze. Natanguliza shukurani zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wa mitishamba, mlonge unatibu kisonono vizuri kabisa!
Ngoja wajazia nyama waje!
Tafuta hiyo dawa farmas ni nzuri sana ndani ya siku 7 utaleta mrejesho bei yake ni 13000 au 15000View attachment 1387618
sent from toyota Allex
paka magadi soda. Changanyanandimu na pilipili mbuzi
Re-infection...utameza dawa zote ila still hautopona kama hujiepushi na ngono zembe pia humtibu mwenza wako..nendeni wote hospitali mkapatiwe tiba pamoja..stay safe...play smart.
Sent using Jamii Forums mobile app
Re-infection...utameza dawa zote ila still hautopona kama hujiepushi na ngono zembe pia humtibu mwenza wako..nendeni wote hospitali mkapatiwe tiba pamoja..stay safe...play smart.
Sent using Jamii Forums mobile app
Majani yamesagwa tia kwenye uji,supu ,chai n.k robo sh.elfu 2 tu wanauza mbali na alivyokushauri hapo juu mlonge ni kinga na tiba ya maradhi mengi pia zaidi
Kama umeambiwa dozi ya sindano itakuwa week 3 bas uwe na subila utapona maana ugonjwa kuingia ni rahisi lakini kutoka inachukua muda
Msaada upi tena? Dawa si ushapewa?
Msaada upi tena? Dawa si ushapewa?
Subiri hata wiki 2 uone.
Cpro ulizotumia ni za wapi?? Kama ni za India au Tz basi tafuta za Egypt au German
Bei ni kati ya 18,000/= na 25,000/=(Tshs)
Sent using Jamii Forums mobile app