Rogwa
Member
- Mar 28, 2015
- 29
- 18
Natumai mu wazima wa afya,
Kwa yeyote anayefahamu tiba ya kisonono anisaidie, nilikwenda hospital nikapewa dozi ya vidonge. Dozi ilikuwa ni metro siku 2,cpro siku 5 na doxn siku 7 lakini haikusaidia kitu.
Nimerudi hospital tena nikaandikiwa sindano moja kila wiki kwa wiki tatu pamoja na vidonge. Nimechoma sindano lakini bado nafuu haipatikani. Hivyo bas kwa yeyote anayejua dawa tafadhari naomba anielekeze.
Natanguliza shukurani zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app