Kuna maelezo mengi na marefu kiasi. Kuna vyakula nitakushauri uache kula. Kwa haraka waweza tafuna mkaa hakikisha unapata choo kawaida km una tatizo la kuziba choo nieleze. Usitumie sigara kileo. Hakikusha unakausha vizuri mwili baada ya kuoga na nguo za ndani zianikwe juani hasa taulo. Kausha nguo juani nje sio kukaushia chumbani. Kwa maelezo zaidi waweza PM
Hizo ni fangus nenda hospitali ukatibiwe
Umezingatia lakini alichosema.......!!....
Ni katikati ya ngogwez na mapaja.......naomba uzingatie vizuri...........
So doctor you mean avae tight?
Hivi kule Apolo hawawezi kuweka za bandia au kuchukua za paka wakaweka incase tu asipotibiwaKwa ushauri zaidi awahi hospital aache kupiga ramli hapa.......ngogwe iz samsing else........
Dr Preta.....