Msaada: Tiba ya michubuko

Msaada: Tiba ya michubuko

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
4,796
Reaction score
5,553
Naomba niulize kitu kuna ugonjwa wa kuchubuka mapaja kati ya mapumbu na mapaja yaani mapaja yanakuwa kama yameungua na moto hivi alafu kunakuwa na kaarufu fulani hivi, najua humu ndani kuna maprofesa, madaktari, na wengine wengi.

Tafadhali naomba msaada wa tiba ya huu ugonjwa na hata ushauri wa sababu inayofanya utokee hasa huu ugonjwa.

Nawasilisha kwenu wakuu.
 
Ttzo lako ni fungus@ndio zinakusumbuaaaa
 
Kuna maelezo mengi na marefu kiasi. Kuna vyakula nitakushauri uache kula. Kwa haraka waweza tafuna mkaa hakikisha unapata choo kawaida km una tatizo la kuziba choo nieleze. Usitumie sigara kileo. Hakikusha unakausha vizuri mwili baada ya kuoga na nguo za ndani zianikwe juani hasa taulo. Kausha nguo juani nje sio kukaushia chumbani. Kwa maelezo zaidi waweza PM
 
Nimekuelewa mkuu kwa ushaur mzur nitafanya ivyo
 
Umezingatia lakini alichosema.......!!....
Ni katikati ya ngogwez na mapaja.......naomba uzingatie vizuri...........

Mkuu nimezingatia vzur ondoa shaka
 
Inawezekana ukawa u mnene.
Wakati unatembea unasababisha misuguano ya nyama.
Punguza manyama uzembe.
 
Inawezekana ukawa u mnene.
Wakati unatembea unasababisha misuguano ya nyama.
Punguza manyama uzembe.

Mkuu upo sahihi, ila uwezi amini mimi ni mwembamba sana ila ninaweza sema itakuwa sababu ni joto na msuguano ndo inasababisha
 
Kwa ushauri zaidi awahi hospital aache kupiga ramli hapa.......ngogwe iz samsing else........

Dr Preta.....
Hivi kule Apolo hawawezi kuweka za bandia au kuchukua za paka wakaweka incase tu asipotibiwa
 
Back
Top Bottom