Msaada: Tiba ya minyoo ya kutambaa kwenye ngozi

musungu

Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
29
Reaction score
4
Madaktari wa JF, nisaidieni mtoto wangu anaumwa minyoo ya kutambaa kwenye ngozi.
 
Je umewahi kumpeleka kwa madaktari wa hospital za unakoishi?
 
Pole.Mwanao ana kitu tunaita pinworms.Chukua vitunguu saum na tangawizi.Vimenye viponde kisha mpake siku 14.Zaidi ni-PM
 
Reactions: BAK
Madaktari wa JF, nisaidieni mtoto wangu anaumwa minyoo ya kutambaa kwenye ngozi.

Ana umri gani? Ni kwa njia ipi ulithibitisha anaumwa "minyoo ya kutaambaa kwenye ngozi"?
-Ni mtoto wa ngapi?
-Vipi lishe na ukuaji wake?


Tafadhali, mpeleke hospitali iliyokaribu nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…