M musungu Member Joined Oct 5, 2011 Posts 29 Reaction score 4 Apr 13, 2013 #1 Madaktari wa JF, nisaidieni mtoto wangu anaumwa minyoo ya kutambaa kwenye ngozi.
Paloma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 5,331 Reaction score 4,955 Apr 13, 2013 #2 Je umewahi kumpeleka kwa madaktari wa hospital za unakoishi?
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,315 Apr 13, 2013 #3 Pole.Mwanao ana kitu tunaita pinworms.Chukua vitunguu saum na tangawizi.Vimenye viponde kisha mpake siku 14.Zaidi ni-PM
Pole.Mwanao ana kitu tunaita pinworms.Chukua vitunguu saum na tangawizi.Vimenye viponde kisha mpake siku 14.Zaidi ni-PM
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,544 Apr 13, 2013 #4 musungu said: Madaktari wa JF, nisaidieni mtoto wangu anaumwa minyoo ya kutambaa kwenye ngozi. Click to expand... Ana umri gani? Ni kwa njia ipi ulithibitisha anaumwa "minyoo ya kutaambaa kwenye ngozi"? -Ni mtoto wa ngapi? -Vipi lishe na ukuaji wake? Tafadhali, mpeleke hospitali iliyokaribu nawe.
musungu said: Madaktari wa JF, nisaidieni mtoto wangu anaumwa minyoo ya kutambaa kwenye ngozi. Click to expand... Ana umri gani? Ni kwa njia ipi ulithibitisha anaumwa "minyoo ya kutaambaa kwenye ngozi"? -Ni mtoto wa ngapi? -Vipi lishe na ukuaji wake? Tafadhali, mpeleke hospitali iliyokaribu nawe.