Msaada tiba ya sukari kushuka

Msaada tiba ya sukari kushuka

Scorpa

Member
Joined
Jun 23, 2019
Posts
55
Reaction score
24
Habarini doctors na wanajamii wa forum hii.

Naomba nipate dawa ya kisukari kushuka nipo mbali na huduma za hosipital.

Ila hizi dalili ziliwa kunipata 2014
Nikapima nikaambiwa sukari imeshuka mwilini.
Nikashauliwa kutumia vinywaji vya sukari pamoja na keki hali ika kaa sawa.

Ila Sasa na Kama wiki hivi nasumbuliwa Tena na hili tatizo najaribu kutumia tiba ya mwanzo lakini hali naona inazidi kuwa mbaya.

Dalili ziko hivi.
Napepesuka nikiwa natembea.
Miguu inalegea na kuishiwa nguvu.
Nahisi Kama kizungu zungu nikisimama ghafra kutokana kwenye kiti.
Nahisi njaa muda mfupi Mara baada ya kula.
Dalili ya macho kufumba Bila hata usingizi.

Nimepima sukari masaa 5 kabla sijala inasoma 2.5
Msaada tafadhari
 
Mkuu je unatumia vyakula vya wanga Ili kukuongezea nguvu?
 
Kula msosi.

Kapime Full Blood Picture na Blood pressure
 
Back
Top Bottom