Msaada tiba ya vidonda vya tumbo

Joined
Dec 6, 2016
Posts
41
Reaction score
24
Mama angu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ameshatumia sana dawa za hospital, msaada kwa anaye jua dawa za asili ili nijaribu kumpa nazo msaada wenu wana jamii!!![emoji33]
 
Mama angu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ameshatumia sana dawa za hospital, msaada kwa anaye jua dawa za asili ili nijaribu kumpa nazo. Msaada wenu wana jamii!!![emoji33]
Je umeshampeleka kwa Madaktari Bingwa?(Specialist)
Kuna namba ya simu nitakutumia, unaweza kupata msaada was dawa unazotaka.
 
Duuuh pole sana tafuta hawa wa Sanitarium/herbal clinic watamsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…