kelvin_sigwa_1
Member
- Dec 6, 2016
- 41
- 24
Mama angu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ameshatumia sana dawa za hospital, msaada kwa anaye jua dawa za asili ili nijaribu kumpa nazo msaada wenu wana jamii!!![emoji33]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je umeshampeleka kwa Madaktari Bingwa?(Specialist)Mama angu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ameshatumia sana dawa za hospital, msaada kwa anaye jua dawa za asili ili nijaribu kumpa nazo. Msaada wenu wana jamii!!![emoji33]
Nitashukuru sana mkuu, nitumie namba nimtafuteJe umeshampeleka kwa Madaktari Bingwa?(Specialist)
Kuna namba ya simu nitakutumia, unaweza kupata msaada was dawa unazotaka.
Ana miaka 2 mkuuAna mdanavyo gan mpaka kufika leo hii!?, Miez kadhaa au Miaka kadhaa?
Mkuu wanapatikana wapii mm mwenyewe mgonjwaa yana miaka zaid ya 5 sahv situmii maharage. Dagaa. Viazi naombeni msaadaDuuuh pole sana tafuta hawa wa Sanitarium/herbal clinic watamsaidia
wapo mikoa mbalimbali mfano Sigwa herbal clinicMkuu wanapatikana wapii mm mwenyewe mgonjwaa yana miaka zaid ya 5 sahv situmii maharage. Dagaa. Viazi naombeni msaada