Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Ambavyo huwa yeye anayeleta Hoja ni Lazima athibitishe.... HE WHO ALLEGES MUST PROVE
wewe unayesema hukuwepo thibitisha kama kweli hukuwepo,
Unaweza kuthibitisha kwa kutoa ticket ya basi na Unaweza kwenda mbali Zaidi kupata orodha ya wasafiri ya siku husika kutoka Kwa wasafirishaji