Msaada: Timberland boot zinasafishwaje?

Msaada: Timberland boot zinasafishwaje?

cognition

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
1,287
Reaction score
1,391
Wakuu,

Naomba mnisaidie kama kuna yeyote anajua jinsi ya kusafisha hizi timberland boot,kama kuna dawa maalumu au sabuni,maana zinaanza kutofautiana rangi na vidoa doa ambavyo havifutiki.
 
boot dizaini hii
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1457192548094.jpg
    uploadfromtaptalk1457192548094.jpg
    15.3 KB · Views: 305
Wakuu naomba mnisaidie kama kuna yeyote anajua jinsi ya kusafisha hizi timbeland boot.,kama kuna dawa maalumu au sabuni,maana zinaanza kutofautiana langi na vidoa doa ambavyo havifutiki
Nenda uliponunua kuna dawa ya kusafishia au kuna kidubwasha kama ufutio ule wa penseli ndio unautumia kusafishia

PC010_000.jpg

PC012_000_alt1.jpg
 
Unaiosha na maji masafi halafu unapaka dark tan ya maji unaiweka kwenye jua. Ila iwe timberland original sio majagi
 
Nenda uliponunua kuna dawa ya kusafishia au kuna kidubwasha kama ufutio ule wa penseli ndio unautumia kusafishia

PC010_000.jpg

PC012_000_alt1.jpg
Eeeh yani nilitaka nikuite hapa mzee wa Tim boots, kumbe usha-do the needful
 
Timber Land Boot zilikuwa deal sana Miaka ya 2002 ukitinga unaoneka mshua.
 
Kwasababu wakati ule ni mpaka ushuke nazo, ila hapo kati zikaingia za kichina ndio kila mtu akazivamia,ila ukiona tu unajua hii mchina hii yenyewe. By the way bei yake original inapanda kila siku haishuki.
Haaa Zile Mchina noma Ila original tulikuwa tunaliita BUYU.

Mkuu siku hizi wanavaa watalii huko Longido
Timbz nakumbuka Kuna jamaa alinunua kwa jiwe moja mwaka 2004.
 
Haaa Zile Mchina noma Ila original tulikuwa tunaliita BUYU.

Timbz nakumbuka Kuna jamaa alinunua kwa jiwe moja mwaka 2004.
thats cheap......muda huo original zilikuwa zinauzwa Pound sterling 110! sasa hivi pound 160!
 
Nenda uliponunua kuna dawa ya kusafishia au kuna kidubwasha kama ufutio ule wa penseli ndio unautumia kusafishia

PC010_000.jpg

PC012_000_alt1.jpg
asante mkuu nitafanya hivo asee,.naviagiza hivo vifaa kampala ndio nilipochukulia
 
Back
Top Bottom