Nimerudi nchini na binti yangu ambaye amemaliza Yr9 (UK) sawa na kidato cha tatu hapa kwetu na ninamtafutia shule. Nimeambiwa na rafiki yangu kwamba hizi shule mbili zinafata syllabus ya Uingereza. Kuna anayezifahamu vizuri? Ni ipi itamfaa huyu kijana wangu asije akapotea kielimu? Nashukuru kwa msaada wana JF