Msaada: Tofauti kati ya DIS (Dar es salaam Independent Sch. na AISS (Academic International S Sch)

Msaada: Tofauti kati ya DIS (Dar es salaam Independent Sch. na AISS (Academic International S Sch)

Mikongeni

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Nimerudi nchini na binti yangu ambaye amemaliza Yr9 (UK) sawa na kidato cha tatu hapa kwetu na ninamtafutia shule. Nimeambiwa na rafiki yangu kwamba hizi shule mbili zinafata syllabus ya Uingereza. Kuna anayezifahamu vizuri? Ni ipi itamfaa huyu kijana wangu asije akapotea kielimu? Nashukuru kwa msaada wana JF
 
Nimerudi nchini na binti yangu ambaye amemaliza Yr9 (UK) sawa na kidato cha tatu hapa kwetu na ninamtafutia shule. Nimeambiwa na rafiki yangu kwamba hizi shule mbili zinafata syllabus ya Uingereza. Kuna anayezifahamu vizuri? Ni ipi itamfaa huyu kijana wangu asije akapotea kielimu? Nashukuru kwa msaada wana

Mpeleke DIS itamfaa maana wanafuata mfumo wa cambridge
 
Back
Top Bottom