Kwani hapo bugando umekosa nini?
Utaenda hospitali mbalimbali lakm specialist wao wooote watakurefer bugando maana huko ndo wako na vipimo vya uhakika.
Cha muhim ungeulizia specialist wa masikio ni nani ili upate details zake.
ENT haina watu wengi aisee so wanapatikana kwa tochi