ARISTOTLE79
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 451
- 139
Ordinary diploma ya dit ni mwaka mmoja
Miwili, na kwa wanaotoka 4m4 Ni mitatu
Kwa technical colleges haijalish umetokea form four or form six wote miaka ile ile
DIT Kuna wanaochukua dip wakitokea form six husoma kwa miaka miwili, pia wapo waliofaulu form four wakakaomba kujiunga diploma direct wanapangiwa vyuoni, Ni Kama miaka ya nyuma vyuo Kama dar Tech(dit) Mbeya tech tanga tech, Moshi tech. Hawa husoma miaka mitatu
Ordinary diploma ya dit ni mwaka mmoja
Hapa ulimanisha nini?
Miaka miwil ya mwanzo mtu anasoma technician certificate then ule wa tatu ndo unaitwa ordinary diploma
Mkuu samahani naomba nikupinge kidogo. Tofauti kati ya ordinary diploma na advanced diploma ni kama ifuatavo.Diploma ni ile wanayosoma wanaosoma walimu, miaka miwili sana sana. Ukimaliza huendi chuo kikuu kusoma Bachelor Degree hadi uombee NACTE na sio TCU.
Ordinaly Diploma ni ile inayotolewa na vyuo kama DIT WDMI and alike, inakua ya miaka miwili, unaenda chuo kikuu directly kupitia TCU.
Advanced Diploma ni kama Bachelor Degree