Msaada: Tofauti ya Diploma na Ordinary Diploma

Msaada: Tofauti ya Diploma na Ordinary Diploma

Kwa technical colleges haijalish umetokea form four or form six wote miaka ile ile

DIT Kuna wanaochukua dip wakitokea form six husoma kwa miaka miwili, pia wapo waliofaulu form four wakakaomba kujiunga diploma direct wanapangiwa vyuoni, Ni Kama miaka ya nyuma vyuo Kama dar Tech(dit) Mbeya tech tanga tech, Moshi tech. Hawa husoma miaka mitatu
 
Sio kweli waliotokea form six wanasoma miaka mitatu
Nipo dit so nnachokiongea nakijua
 
Miaka miwil ya mwanzo mtu anasoma technician certificate then ule wa tatu ndo unaitwa ordinary diploma

Anyway Ila UMESEMA ORDINARY DIPLOMA YA DIT NI MWAKA MMOJA, UNGESEMA MIAKA MIWILI NA TECH CERT NI MWAKA MMOJA JUMLA MIAKA MITATU
 
Diploma ni ile wanayosoma wanaosoma walimu, miaka miwili sana sana. Ukimaliza huendi chuo kikuu kusoma Bachelor Degree hadi uombee NACTE na sio TCU.

Ordinaly Diploma ni ile inayotolewa na vyuo kama DIT WDMI and alike, inakua ya miaka miwili, unaenda chuo kikuu directly kupitia TCU.

Advanced Diploma ni kama Bachelor Degree
Mkuu samahani naomba nikupinge kidogo. Tofauti kati ya ordinary diploma na advanced diploma ni kama ifuatavo.

Ordinary diploma inapatikana pale mtu mtu anapofuzu ngazi zifuatazo
NTA LEVEL 4-Basic technician certificate
NTA LEVEL 5-full Technician certificate
NTA LEVEL 6-Ordinary diploma

Na endapo mtu akisoma mpaka NTA 8 Anafuzu kutunukiwa advanced diploma ijapokuwa anakuwa anaendelea kusoma mpaka NTA 9 kwa ajili ya shahada ya kwanza.

NOTE:1.DIT hakutolewi diploma ya miaka ya miaka miwili ni mitatu mkuu
2.Watu wote wenye diploma wanadahiliwa na NACTE ikishirikiana na TCUso walimu peke yao.

Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom