Msaada; Tofauti ya kukodisha jengo kama kampuni na mtu binafsi

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Posts
1,001
Reaction score
103
Habari zenu Wana JF
nahitaji msaada , nyumba ya ghorofa(apartments) inaYofanya biashara ya kupangisha ikiwa inamilikiwa na watu 7. Wamiliki wakifungua kamapuni kwa ajili ya kuendesha shughuli za upangaji au kuendesha shughuli zake za ukodishaji kama watu binafsi kutakua na tofauti gani? watapata faida ama athari gani?


NATANGULIZA SHUKRANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…