Zasasule
JF-Expert Member
- Aug 12, 2009
- 1,001
- 103
Habari zenu Wana JF
nahitaji msaada , nyumba ya ghorofa(apartments) inaYofanya biashara ya kupangisha ikiwa inamilikiwa na watu 7. Wamiliki wakifungua kamapuni kwa ajili ya kuendesha shughuli za upangaji au kuendesha shughuli zake za ukodishaji kama watu binafsi kutakua na tofauti gani? watapata faida ama athari gani?
NATANGULIZA SHUKRANI