Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Jan 20, 2017 Thread starter #21 Chipompo said: Hahahahaaaa kweli mkamatwa na mkamata wote nadhani walikua karibu na zero. Click to expand... Mtu anayepata maarifa si zero hata kidogo.We unayejiona mwerevu ndo 0
Chipompo said: Hahahahaaaa kweli mkamatwa na mkamata wote nadhani walikua karibu na zero. Click to expand... Mtu anayepata maarifa si zero hata kidogo.We unayejiona mwerevu ndo 0
madhabaunyeusinyeusi JF-Expert Member Joined Dec 31, 2016 Posts 200 Reaction score 98 Jan 20, 2017 #22 Wamekuonea hao kama zimekuja na gari ni halali.
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Jan 22, 2017 Thread starter #23 galindas said: ni kwanini hazitakiwi hizi taa, madhara yake ni nini Click to expand... Inasemekana inasababisha ajali wakati wa usiku,dereva akiwasha wakati wa kupishana bila punguza mwanga
galindas said: ni kwanini hazitakiwi hizi taa, madhara yake ni nini Click to expand... Inasemekana inasababisha ajali wakati wa usiku,dereva akiwasha wakati wa kupishana bila punguza mwanga