JambaziSugu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 245
- 210
Habari wana jf. Kwa yeyote anayefahamu topic za form v za Basic Applied Mathematics (BAM) pamoja na subtopics wanazotakiwa kusoma tofauti na pure Mathematics anisaidie kwa kuniorodhoshea. Kwa maana nimeshindwa kuelewa wapi mipaka ya BAM tofauti na pure maths.