Msaada:Toyota Altezza technical and financial difficulties

Msaada:Toyota Altezza technical and financial difficulties

mpiga domo

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
852
Reaction score
1,507
Wadau nilikua naomba kupatiwa msaada wenye kujua vizur magari haya nimepata toyota altezza kwa milioni 9 sasa kabla ya kununua ningeomba kusaidiwa kujua shida za kiufundi za hii gari na kiuchumi pia itaniathiri vipi kumiliki gari ya aina hii. Asanteni sana
 
Back
Top Bottom