mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Wadau nilikua naomba kupatiwa msaada wenye kujua vizur magari haya nimepata toyota altezza kwa milioni 9 sasa kabla ya kununua ningeomba kusaidiwa kujua shida za kiufundi za hii gari na kiuchumi pia itaniathiri vipi kumiliki gari ya aina hii. Asanteni sana