Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
4WD ina matatizo gani?Chukua 2WD ndo nzuri.
Chukua 2WD ndo nzuri.
Wakuu mambo vipi naomba mnipe sifa za hii gari ya toyota ist 4 wheel drive kwenye spea, utumiaji wa mafuta, service na ubora wake barabarani. Je na kati ya ist 4WD & 2WD ipi ni best?? Wajuzi wa mambo karibuni
Kuna fundi aliniambia gari ndogo zenye 4WD huwa zinasumbua,hakunipa maelezo sana ila ninachofahamu ni kwamba zenye 4WD zinakula mafuta kuliko zenye 2WD