Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Wakuu mambo vipi naomba mnipe sifa za hii gari ya toyota ist 4 wheel drive kwenye spea, utumiaji wa mafuta, service na ubora wake barabarani. Je na kati ya ist 4WD & 2WD ipi ni best?? Wajuzi wa mambo karibuni