Msaada: Toyota oppa imeanza matatizo baada ya kuifanyia service

Msaada: Toyota oppa imeanza matatizo baada ya kuifanyia service

Wee jamaa ni tapeli no way out! Mwambie hapa wote wanufaike na siyo mambo ya pm kama mganga wa jadi bhana! mshana jr RRONDO ngoja waje wanaweza kukupa mwanga

Siyo kuwa tapeli ila nataka tuwasiliane kwa njia ya simu siyo kuchart hapa , mm hilo tatizo lilsha nikuta kwahiyo tukiongea naye nitajua !
 
Mm yangu ilisha nishumbua mpaka balaa unaweza kuona Thread zangu humu ndani nilikuwa nalalamika kama wewe !
 
Nami nimeshangaa, pm ya ni nini kwenye vitu kama hivyo

Ok, lengo kubwa nilikuwa nataka huyu jamaa aniuzie hiyo gari ikiwa hivyo! Tatizo kama hilo linasababishwa na Nozeli hapo hauna ujaja badilisha nozeli tu mambo yatuwa safi , ugojwa wa Opa ni nozeli halafu safisha tank la mafuta mchezo umeisha.
 
Wewe badala ya kumsaidia mwenzako gari yake ipate kuwa sawa unataka akuuzie, angetaka kuliuza si angetangaza biashara

Watu wengine bhana.
 
Back
Top Bottom