Msaada: Toyota Sienta niliiacha silence ikazima ghafla

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,048
Reaction score
1,424
wakuu nina gari yangu Toyota Sienta niliiacha silence ili betri ijichaji nikaona imezima gafla kuangalia mafuta yamo mengi tu kuwasha gari haiwaki nikabadili betrii mpyaa gari inabiga stata tu lakin injini aipokei kuwaka shida itakua nini maana hata gerage siwezi ipeleka maana haiwaki.
 
wakuu ninagari yangu toyota sienta niliiacha silence ili betri ijichaji nikaona imezima gafla kuangalia mafuta yamo mengi tu kuwasha gari haiwaki nikabadili betrii mpyaa gari inabiga stata tu lakin injini aipokei kuwaka shida itakua nini maana hata gerage siwezi ipeleka maana haiwaki
Muite fundi hapo nyumbani. Gari kutowaka inaweza kuwa ni kwa sababu ya kitu kimoja au vingi.
 
gari ipo mburahati kama kuna mtaalam wa mambo yaan fundi kweli kweli asije kuwa sio mtaalam akafungua injini kumbe shida sio injini nipatie namba pm
 
wakuu nina gari yangu Toyota Sienta niliiacha silence ili betri ijichaji nikaona imezima gafla kuangalia mafuta yamo mengi tu kuwasha gari haiwaki nikabadili betrii mpyaa gari inabiga stata tu lakin injini aipokei kuwaka shida itakua nini maana hata gerage siwezi ipeleka maana haiwaki.
Gari iko wapi?

Hapo ni kuita mtu au kuivuta kwenda garage.
 
wakuu ninagari yangu toyota sienta niliiacha silence ili betri ijichaji nikaona imezima gafla kuangalia mafuta yamo mengi tu kuwasha gari haiwaki nikabadili betrii mpyaa gari inabiga stata tu lakin injini aipokei kuwaka shida itakua nini maana hata gerage siwezi ipeleka maana haiwaki
Pole sana, kwa dalili hizo ulizo semaa kuna uwezekano wa yafuatayo;

1. mafuta hayapandi, meaning kunashida kwenye mfumo wa mafuta(huenda pump imekufa au imejam kuwa makini upojazia mafuta).

2. kunashida ya starter moter(self) muhimu kupima betri pia kama ina volts za kutoshaa hatakama ni mpya.

3. yawezekana plug pia zinashida ila hii ni ndra sanaa muhimu izo mbili hapo juu
 
wakuu nina gari yangu Toyota Sienta niliiacha silence ili betri ijichaji nikaona imezima gafla kuangalia mafuta yamo mengi tu kuwasha gari haiwaki nikabadili betrii mpyaa gari inabiga stata tu lakin injini aipokei kuwaka shida itakua nini maana hata gerage siwezi ipeleka maana haiwaki.
Mwite Fundi au iuze hapo hapo! Maswali mengine bwana!
 
wakuu nina gari yangu Toyota Sienta niliiacha silence ili betri ijichaji nikaona imezima gafla kuangalia mafuta yamo mengi tu kuwasha gari haiwaki nikabadili betrii mpyaa gari inabiga stata tu lakin injini aipokei kuwaka shida itakua nini maana hata gerage siwezi ipeleka maana haiwaki.
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea tatizo hilo, ikiwepo fuel system, fuses nk...kama hauna utundu wa kuchokonoa, ita fundi atakutatulia
 
Back
Top Bottom