Shukran mkuu,lkn vp kuhusu matumizi ya mafuta,kwakua safari ni mbali je naweza kukipumzisha kila baada ya Muda gani?Hivi vigari haviko stable kabisa barabarani.
Kwa safar ndefu kitakusumbua.
Body yake imekua designed vibaya pia ni nyepesi mno.
Yaan ukitembea over 80km/hr utaona kinapepesuka njian.
Hakichelewi kupinduka.
Ushaur wangu: Tembea below 80km/hr
Sawa mkuu,asante Sana kwa ushauriMkuu sikushauri ununue kigar cha cc chini ya 1280 itakusumbua sana especially kwa mtu mimi nakumbuka msemo chepest are always expensive get prepared!
Mkuu sikushauri ununue kigar cha cc chini ya 1280 itakusumbua sana especially kwa mtu mimi nakumbuka msemo chepest are always expensive get prepared!
Ijumaa naenda dar kuchukua Gari hii lkn nanunua kwa mtu,ina cc 660,naomba kwa wanao ifahamu mnijuze Kwan natoka Dar to bukoba,je muda gan mzur kwa gari yenye engine ndogo,,nipumzike kila muda gani au km ngapi?,
Asante mkuuMzee,
Wapo watakao pinga uamuzi wako na wapo watakaokubali,
Mimi natumia terios kid, nlisafiri nayo Dar Mbeya in one day bila shida yoyote, speed ipi vyema na stability ipo vyema hata above 80km/h
Wengi wanacomment hapa huku gari hawajawah kulitumia,
Ni gari zuri kwa mizunguko ya town na safari ndefu mara moja moja
Nunua gari kutokana na matumizi yako na sio wanasema nini watu
Haya mkuu naona umeamua kumuunga mkulu mkono haya kupanga ni kuchakua na kuchagua ni kuacha! All in all wote tunakuwa tunatumia usafirMzee,
Wapo watakao pinga uamuzi wako na wapo watakaokubali,
Mimi natumia terios kid, nlisafiri nayo Dar Mbeya in one day bila shida yoyote, speed ipi vyema na stability ipo vyema hata above 80km/h
Wengi wanacomment hapa huku gari hawajawah kulitumia,
Ni gari zuri kwa mizunguko ya town na safari ndefu mara moja moja
Nunua gari kutokana na matumizi yako na sio wanasema nini watu
Si kawaida yangu kuonesha dharau, lakini Terrios Kid ni bajaj kubwa achana nayo.Kwani kasema anataka gari yenye nguvu kubwa!?
Mkuu nataka kununua hii gari naomba msaada wa wapi ntapata spare na mafundivwa zuri wa serviceMzee,