Msaada Toyota terios kid

Msaada Toyota terios kid

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
390
Ijumaa naenda dar kuchukua Gari hii lkn nanunua kwa mtu,ina cc 660,naomba kwa wanao ifahamu mnijuze Kwan natoka Dar to bukoba,je muda gan mzur kwa gari yenye engine ndogo,,nipumzike kila muda gani au km ngapi?,
 
Mkuu sikushauri ununue kigar cha cc chini ya 1280 itakusumbua sana especially kwa mtu mimi nakumbuka msemo chepest are always expensive get prepared!
 
Hivi vigari haviko stable kabisa barabarani.

Kwa safar ndefu kitakusumbua.

Body yake imekua designed vibaya pia ni nyepesi mno.

Yaan ukitembea over 80km/hr utaona kinapepesuka njian.
Hakichelewi kupinduka.

Ushaur wangu: Tembea below 80km/hr
 
Shukran mkuu,lkn vp kuhusu matumizi ya mafuta,kwakua safari ni mbali je naweza kukipumzisha kila baada ya Muda gani?
 
Mkuu sikushauri ununue kigar cha cc chini ya 1280 itakusumbua sana especially kwa mtu mimi nakumbuka msemo chepest are always expensive get prepared!
Sawa mkuu,asante Sana kwa ushauri
 
Nakumbuka mimi nilinunua vits ya 2005 ilikuwa
Cc 990 kutoka japan kwa tsh mil 9 had ucjali ila haikukaa mwez niliuza kwa hasara kwa mil 7 kwa
Sababu haina nguvu kila niliekutana nae gerej alizid kunitisha now nimehamia ist ya cc 1280 kamwe sijajuta japo nilisubir mda
Kidogo kuongezea
Hela ya kununulia
Narudia usinunue hiyo gar itakutesa kamwe hautanisahau kwa ushauri huu wa
Mwisho
 
Mkuu sikushauri ununue kigar cha cc chini ya 1280 itakusumbua sana especially kwa mtu mimi nakumbuka msemo chepest are always expensive get prepared!

Kwani kasema anataka gari yenye nguvu kubwa!?
 
Ijumaa naenda dar kuchukua Gari hii lkn nanunua kwa mtu,ina cc 660,naomba kwa wanao ifahamu mnijuze Kwan natoka Dar to bukoba,je muda gan mzur kwa gari yenye engine ndogo,,nipumzike kila muda gani au km ngapi?,

Mzee,

Wapo watakao pinga uamuzi wako na wapo watakaokubali,

Mimi natumia terios kid, nlisafiri nayo Dar Mbeya in one day bila shida yoyote, speed ipi vyema na stability ipo vyema hata above 80km/h

Wengi wanacomment hapa huku gari hawajawah kulitumia,

Ni gari zuri kwa mizunguko ya town na safari ndefu mara moja moja

Nunua gari kutokana na matumizi yako na sio wanasema nini watu
 
Asante mkuu
 
Tembea 2-3hrs kisha pumzika kwa around 40 minutes. Speed 80kph at maximum ni safe kwa usalama wako pia
 
Mzee,

Wapo watakao pinga uamuzi wako na wapo watakaokubali,

Mimi natumia terios kid, nlisafiri nayo Dar Mbeya in one day bila shida yoyote, speed ipi vyema na stability ipo vyema hata above 80km/h

Wengi wanacomment hapa huku gari hawajawah kulitumia,

Ni gari zuri kwa mizunguko ya town na safari ndefu mara moja moja

Nunua gari kutokana na matumizi yako na sio wanasema nini watu
Haya mkuu naona umeamua kumuunga mkulu mkono haya kupanga ni kuchakua na kuchagua ni kuacha! All in all wote tunakuwa tunatumia usafir
 
Mzee,

Wapo watakao pinga uamuzi wako na wapo watakaokubali,

Mimi natumia terios kid, nlisafiri nayo Dar Mbeya in one day bila shida yoyote, speed ipi vyema na stability ipo vyema hata above 80km/h

Wengi wanacomment hapa huku gari hawajawah kulitumia,

Ni gari zuri kwa mizunguko ya town na safari ndefu mara moja moja

Nunua gari kutokana na matumizi yako na sio wanasema nini watu
Mkuu nataka kununua hii gari naomba msaada wa wapi ntapata spare na mafundivwa zuri wa service
 
Back
Top Bottom