Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati anaiagiza mwambie mapema atafute access za wauza vipuri vya hayo magari hasa body parts,akitaka kujua ubaya wa hilo dude bahati mbaya avunje headlight moja na bumper la mbele aisikie bei yake..kama mtu huhitaji gari ya show off chukua Rav4 1999/2000model ni gari nzuri.Chukua Toyota Volts utafurahi
Wikipedia:-
The Toyota Voltz was a five-door hatchback sold from 2002 to 2004. It was assembled by NUMMI in Fremont, in the U.S. stateof California and marketed by Toyota in its home market of Japan, but curtailed after a disappointing sales volume of just over 10,000 units. The Voltz was produced alongside the Pontiac Vibe in Fremont by NUMMI (New United Motor Manufacturing, Inc), a joint venture between General Motors and Toyota. This vehicle is known as the Pontiac Vibe (itself a version of the Toyota Matrix) in North America.
The Vibe was exported to the Japanese market (with minor badging changes and right-hand drive configuration) as the Toyota Voltz, and was exclusive to Toyota Japanese dealerships called Toyota Netz Store. Whereas its exterior styling is identical to the Vibe, some interior details differ, matching the interior of the Matrix instead. Curiously, the North American Toyota-branded Matrix was not sold in Japan.
Sioni issue hapa ya kujinasibu sana. Hatujali origin yake n.k tunajal ipo chini ya TOYOTA na spares zake zinapatikana na inaitwa TOYOTA VOLTZ. So si kuwa tu ukisoma google kitu iwe issue kubwa sana.kuwa na asili au kutengenezwa marekani hakuiondoi sifa yake ya kuwa ni Product ya TOYOTA TECHNICALLY. Hizo porojo nyingne hazibadili chochote hata kidogo. Maana kuna siku tutabishana kuwa na harrier au prado si ya japan sababu moja ya mafundi wake wana asili ya uingereza so si ya mjapan
Imeandikwa toyota, na la msingi ni inakidhi vigezo vya mleta mada, mafuta, ubora na upatikanaji wa vipuri.Google mkuu, utapata majibu mazuri tu.
Imeandikwa touota, na la msingi ni inakidhi vigezo vya mleta mada, mafuta, ubora na upatikanaji wa vipuri.
Acha kukariri mambo ya GM Motors!
Nimekuelewa vyema mkuu.
Asante, na ninaomba kwa kila niliyem mislead kwa bandiko langu anisamehe bure, Voltz ni Toyota.
Binafsi naipenda na niliifuatilia sana mtandaoni nikapata kitu. Wamarekani wamemtumia mjapani kuuza hayo magari na wakatia nembo ya toyata then ikawa Toyota Voltz.
Kwa ulaji wa mafuta zipo Voltz za aina 3 ambazo ya kwanza inatumia mpaka km 11 kwa 1ltr na nyingine mpaka 12km/ltr na 13km/ltr kutokana na ukubwa wa Engine. Ki ujumla imekaa vizuri sana but wasiwasi ni vipuri tu hasa bumper la mbele ambalo huwa naona linachoka mapema.

Kumbe na wewe ni mzungu?mkuu kama voltz sio toyota ni nani sasa??
acha kukalili maisha mkuu rav 4 old model leo bado unaziwazia?? huko wazungu washakimbia zamani sana mzee
Haka kagari (Toyota voltz) ni katamu, kana show nzuri mafuta ni wastani wa km 11 au 12 kwa lita, spear zinapatikana, cc1790, hii ninayotumia ni 4wd , kuhusu body parts sijaua kwa sababu sijaharibu bado lakini inawezekana ni ngumu kupatikana sababu hazijawa nyingi sana mtaani.