adsense master
Senior Member
- Mar 12, 2019
- 107
- 175
habari za jioni watu wa mungu poleni na mihangaiko ya siku nzima,hivi ni sahihi kwa gari yenye cc 1790 kula mafuta kiasi hcho au ni gari yangu tu,maana juzi nlikuwa na jamaa yangu anadai ni mafuta mengi sana hayo jaribu kuichek,,je ni sawa au ???na kama sio sawa nini kifanyike....??
Okay si sawa.
Kwa mizunguko ya hapa mjini angalau ilibidi ifike 10Km per litre....
Okay I cant help. Thou kuna jamaa yangu alikuwa ubaruku sijajua kama anaweza kuwa amerudi mbeya mjini. Angeweza kukusaidia.nko mbeya
Dsm unapatikana maeneo gani?Okay si sawa.
Kwa mizunguko ya hapa mjini angalau ilibidi ifike 10Km per litre.
Kwa highway anhalau 12Km per litre.
Karibu tufanya Diagnosis turekebishe tatizo kama upo Dar.
Magomeni Mwembechai Mkuu.Dsm unapatikana maeneo gani?
Okay I cant help. Thou kuna jamaa yangu alikuwa ubaruku sijajua kama anaweza kuwa amerudi mbeya mjini. Angeweza kukusaidia.
Poa nitakutafuta, ingawa sijajua mawasiliano ya sehemu, maana Mwembechai ni kubwaMagomeni Mwembechai Mkuu.
Poa nitakutafuta, ingawa sijajua mawasiliano ya sehemu, maana Mwembechai ni kubwa
Habari za jioni watu wa mungu poleni na mihangaiko ya siku nzima,
Hivi ni sahihi kwa gari yenye cc 1790 kula mafuta kiasi hcho au ni gari yangu tu,maana juzi nlikuwa na jamaa yangu anadai ni mafuta mengi sana hayo jaribu kuichek.
Je ni sawa au? Na kama sio sawa nini kifanyike?
Kwa foleni za dar kwa gari Atomatic ya 1.8L kupata 10km/L to be fair ni changamoto mnooo.Okay si sawa.
Kwa mizunguko ya hapa mjini angalau ilibidi ifike 10Km per litre.
Kwa highway anhalau 12Km per litre.
Karibu tufanya Diagnosis turekebishe tatizo kama upo Dar.
And on top of that-Huwa driving yake ikoje manake pengine mguu wake ndo uchawi wenyewe.Pia tathmini ya kusema gari inakula 7 Km/L ameifanyaje fanyaje-this is very important.Pole sana mkuu,naomba nikuulize maswali kadhaa kabla ya kutoa muongozo wangu
1) unatumia oil gani,yenye viscocity ipo(i.e 20w50,5w30,15w40)
2) Gari yako ni 2WD au 4WD
Uza mkuu utakuja nishukuru
1ZZ ni engine ya kisasa. Unless kama imeshatembea Km nyingi.Kwa foleni za dar kwa gari Atomatic ya 1.8L kupata 10km/L to be fair ni changamoto mnooo.
And on top of that-Huwa driving yake ikoje manake pengine mguu wake ndo uchawi wenyewe.Pia tathmini ya kusema gari inakula 7 Km/L ameifanyaje fanyaje-this is very important.
Sorry Mkuu,Kuna mahali nimeona mwembechai nikawa confused.1ZZ ni engine ya kisasa. Unless kama imeshatembea Km nyingi.
Halafu anakuambia yupo Mbeya siyo Dar.
Okay haina shida.Sorry Mkuu,Kuna mahali nimeona mwembechai nikawa confused.