Msaada: Toyota Voltz inakula mafuta lita moja kwa 7km

Msaada: Toyota Voltz inakula mafuta lita moja kwa 7km

adsense master

Senior Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
107
Reaction score
175
Habari za jioni watu wa mungu poleni na mihangaiko ya siku nzima,

Hivi ni sahihi kwa gari yenye cc 1790 kula mafuta kiasi hcho au ni gari yangu tu,maana juzi nlikuwa na jamaa yangu anadai ni mafuta mengi sana hayo jaribu kuichek.

Je ni sawa au? Na kama sio sawa nini kifanyike?
 
habari za jioni watu wa mungu poleni na mihangaiko ya siku nzima,hivi ni sahihi kwa gari yenye cc 1790 kula mafuta kiasi hcho au ni gari yangu tu,maana juzi nlikuwa na jamaa yangu anadai ni mafuta mengi sana hayo jaribu kuichek,,je ni sawa au ???na kama sio sawa nini kifanyike....??

Okay si sawa.

Kwa mizunguko ya hapa mjini angalau ilibidi ifike 10Km per litre.

Kwa highway anhalau 12Km per litre.

Karibu tufanya Diagnosis turekebishe tatizo kama upo Dar.
 
Poa nitakutafuta, ingawa sijajua mawasiliano ya sehemu, maana Mwembechai ni kubwa

Namba yangu ni Hii 0621 221 606. Nashindwa kukuelekeza moja kwa moja sababu sijajua unatokea mjini au ubungo.
 
Habari za jioni watu wa mungu poleni na mihangaiko ya siku nzima,

Hivi ni sahihi kwa gari yenye cc 1790 kula mafuta kiasi hcho au ni gari yangu tu,maana juzi nlikuwa na jamaa yangu anadai ni mafuta mengi sana hayo jaribu kuichek.

Je ni sawa au? Na kama sio sawa nini kifanyike?

Pole sana mkuu,naomba nikuulize maswali kadhaa kabla ya kutoa muongozo wangu
1) unatumia oil gani,yenye viscocity ipo(i.e 20w50,5w30,15w40)
2) Gari yako ni 2WD au 4WD
 
Pole sana mkuu,naomba nikuulize maswali kadhaa kabla ya kutoa muongozo wangu
1) unatumia oil gani,yenye viscocity ipo(i.e 20w50,5w30,15w40)
2) Gari yako ni 2WD au 4WD
And on top of that-Huwa driving yake ikoje manake pengine mguu wake ndo uchawi wenyewe.Pia tathmini ya kusema gari inakula 7 Km/L ameifanyaje fanyaje-this is very important.
 
Back
Top Bottom