Msaada: Toyota Voltz inakula mafuta lita moja kwa 7km

Okay si sawa.

Kwa mizunguko ya hapa mjini angalau ilibidi ifike 10Km per litre.

Kwa highway anhalau 12Km per litre.

Karibu tufanya Diagnosis turekebishe tatizo kama upo Dar.
Ila hio engine imetengenezwa kukupa economy ya 8km/l kwa mjini, highway ni 12km/l so ikiwa 7km/l its not that bad ila kunaweza kuwa na underlying issues kama bad plugs au dirty air cleaner!
 
Okay si sawa.

Kwa mizunguko ya hapa mjini angalau ilibidi ifike 10Km per litre.

Kwa highway anhalau 12Km per litre.

Karibu tufanya Diagnosis turekebishe tatizo kama upo Dar.
Hivi mnapigaje hesabu mimi huangalia thamani yaani 10,000 naenda km36.sijui yamepanda au yameshuka.
Haya mtoa mada tueleze 10k unaenda km ngapi?
 
Mimi nilikuwa napata 9-11km/l nikiwa naenda safari nilikuwa nafika mpaka 12km/l nikiweka petrol treatment
Kuna hesabu hapa utakuwa umechanganya,difference ya Urban na highway lazima iwe zaid ya 1km
Example-Urban huwezi kwenda 11Km/L halafu highway iwe 12Km/L pengine labda mm ndo najichanganya
 
Hivi mnapigaje hesabu mimi huangalia thamani yaani 10,000 naenda km36.sijui yamepanda au yameshuka.
Haya mtoa mada tueleze 10k unaenda km ngapi?

Inategemea na gari kuna gari zinakuonyesha kwenye dash board,kama haionyeshi jaza full tank then set trip kwenye dash board iwe ziro tembea km kadhaa then jaza full tank ujue ulitumia lita ngapi vs km ulizotembea utapata approx ratio amboyo sio exact inaweza kuzidi kidogo au kupingua kidogo sana.
 
1ZZ-FE ni kama hio ya Voltz tu, Plugs zikichoka ndio inanipa 7km/l au chini. Ila engine idle time kama kwenye foleni ndio inakula wese kuliko unavyoweza fikiri kama uko Dar ni maumivu tu.
Ukiweka plug mpya inakuchukua muda gani mpaka kuanza kupata 7km per litre?
 
Hi njia nzuri Sana,niliitumia safari ya mwisho (Arusha to Korogwe) nikaja kubaini Ile consumption ya trip za town inaathiriwa Sana na traffic.

"Be Humble"
 
Ukiweka plug mpya inakuchukua muda gani mpaka kuanza kupata 7km per litre?
Zinakaa hata mwaka hasa kama Top Cover Gasket hailikishi oil kwenye coils kule maana huwa inaendaga kuua plug pre-maturely!

Tafta plug za Denso zinauzwa ghali kidogo ila ndio nzuri, mara ya mwisho mi niliweka nikaenda mbeya kwa mafuta ya 130K vizuri kabisa. Moshi to Dar nilishuka na Nusu Tank!
 
Hi njia nzuri Sana,niliitumia safari ya mwisho (Arusha to Korogwe) nikaja kubaini Ile consumption ya trip za town inaathiriwa Sana na traffic.

"Be Humble"
Yah mjini ni ngumu kujua average, saingine inakuwa 7km saingine 8km ila highway mi najua kabisa nikitia mafuta kiasi flani natusua.

Kama juzi nilienda Vikawe unaingia ndani kama 10KM baada ya shule ya baobab kwa mafuta ya 30K ambayo ni kama 16ltrs huwa natumia kama 11 litres kwenda na kurudi provided njia haina foleni sana.

Umbali huwa unafika 130KM kwenye trip metre naisetigi nikitoka sheli tu. Ukipiga wastani utaona natumia 1ltr ku cover 11.8 kms. Na hio nisababu kuna kipande cha rough road cha 10km toka baobab lami mpaka Vikawe nakoishia. Ila kingekua lami ningekuwa natumia 10ltrs kamili ungekuta napata hata 12.5km economy per litre
 
Inaelekea na mguu wako uko sensitive kwenye mafuta 🤣 🤣 🤣 Good.
 
Inaelekea na mguu wako uko sensitive kwenye mafuta 🤣 🤣 🤣 Good.
Yah kwenye takeoff huwa sina papara ndio maana napata economy nzuri.

Shida ni wale wa akiweka D tu anabonyeza buuuuhhhhh, RPM 1..2..3..4! Ndio gari isogee kwanza lazma isote chini kidogo ichakaze tairi ndio iende. Inavuta gia moja ikija ya pili ishakupiga wese robo litre!

Gari unaipa light foot inabadili gia haraka mno unakuwa ushafika 3!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…