GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,465
Diagnosis unafanya bei gani chief nna rav4 nami inatembea km 8.4 kwa lita mwanzoni haikuwa hivyo nikuletee uitupie jicho..Namba yangu ni Hii 0621 221 606. Nashindwa kukuelekeza moja kwa moja sababu sijajua unatokea mjini au ubungo.