Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni guru sioSio new biemkuu mimi
Aah hapo sawa,kwahyo ulikua unahitaji simplified Price action uongeze kwenye confluence zakoHapana mkuu niko na kaknowledge ambako kwenye unew bie uwezi nihesabuu
Haha umenikumbusha mbali sana.Nipe usd 20 tu sio zaid maana ntakupa vitu ambazo utasema nimekuibia ila vipo accurate 95percent, usipopiga pesa basi utasave loss kubwa , zipo mbili moja unatumia Fibonacci na ingine candlestick
Asante kwa ushauriiMtazamo wangu.
The first thing you need to know ni candlesticks zenyewe af ndo uingie kwenye price action.
Coz ukizijua utaona kbsa znavoingia kwenye price action.
Kuna kitabu cha candlesticks peke yake n kizuri sana maana kinaanzia mbali kbsa kwenye history ya kila candlestick.
Changamoto yake ni cha zamani kidogo so examples zao hua wanatumia stock market instead of currencies. Na kina mifano mingi sana.
Ukikisoma unaona kbsa kwanini candle flani iko ilivo na what happens ikikarbia kutokea na after kutokea nin kinafata na ziko mbalimbali.
After hapo its easy kumaster price action strategies.
Kwa indicators, mostly ni lagging lakini fibonacci ndo most time inakua accurate na haina kelele mingi.
Ungeongezea kutumia demand and supply instead ya support n resistance, most time hua inatoa breathing room ya stop loss kutokua triggered.Kwa Sasa natumia smart money concept pamoja na support and resistance
Sorry nilijichanganya ni supply and demandUngeongezea kutumia demand and supply instead ya support n resistance, most time hua inatoa breathing room ya stop loss kutokua triggered.
Lakn S & R ni poa zaidi kama unaeka stop loss yenye pips nyingi.
Hapa ndo Huwa nashindwa kuelewa. Yaani una strategy nzuri, inayoweza kukupa hela 95% ya kila unapotrade, lakini bado unavizia elfu hamsini ya mwenzako anayestruggle. Utasema wewe mwenyewe labda uliinunua, sawa, lakini si ilishakulipa? Kama uliinunua na haijakulipa basi ni famba, utakuwa unatafuta wa kushare nae machunguNipe usd 20 tu sio zaid maana ntakupa vitu ambazo utasema nimekuibia ila vipo accurate 95percent, usipopiga pesa basi utasave loss kubwa , zipo mbili moja unatumia Fibonacci na ingine candlestick
Amna kaka usimdhanie mtu vby...kwenye swala la uchumi Kila mtu Huwa ana falsafa yake...uwezi jua ndomana wakina Bhakresa wanauza ukwaju 500/= japo ni mabillionareHapa ndo Huwa nashindwa kuelewa. Yaani una strategy nzuri, inayoweza kukupa hela 95% ya kila unapotrade, lakini bado unavizia elfu hamsini ya mwenzako anayestruggle. Utasema wewe mwenyewe labda uliinunua, sawa, lakini si ilishakulipa? Kama uliinunua na haijakulipa basi ni famba, utakuwa unatafuta wa kushare nae machungu
Sawa,wewe ni trader wa aina gani?..swinger,day trader au scalper?Kwa Sasa natumia smart money concept pamoja na supply and demand