Msaada: Trader mwenye simplified price action

Msaada: Trader mwenye simplified price action

Sawa sawa kaka....sijawahi fanya hivyo ila leo night nitajaribu kufanya hio kwenye pair moja nione outcomes..mkuu
Ila zingatia sana higher timeframe direction maana lower timeframes respect higher timeframes

Mfano Ukiona weekly na daily market direction ni bearish basi na lower timeframes zitakua bearish sooner or later
 
Haka kaprincipal nakajua mkuu ndomana nilikuwa naishia kuchora demand n supply kwenye H4
 
Hapa ndo Huwa nashindwa kuelewa. Yaani una strategy nzuri, inayoweza kukupa hela 95% ya kila unapotrade, lakini bado unavizia elfu hamsini ya mwenzako anayestruggle. Utasema wewe mwenyewe labda uliinunua, sawa, lakini si ilishakulipa? Kama uliinunua na haijakulipa basi ni famba, utakuwa unatafuta wa kushare nae machungu
Licha ya kunilipa au kutokunilipa ,hii strategy nime i build mwenyewe pia aya nakufundishaje yani nitumie gharama zangu tena duh , kwaiyo waliofanikiwa hawataki tena pesa ,kuweka gari mafuta ni kuonyesha nia ya kusafiri , alafu mi mara mia nimfundishe bigginer kabisa bure kuliko mtu aliesokoni bure
 
Licha ya kunilipa au kutokunilipa ,hii strategy nime i build mwenyewe pia aya nakufundishaje yani nitumie gharama zangu tena duh , kwaiyo waliofanikiwa hawataki tena pesa ,kuweka gari mafuta ni kuonyesha nia ya kusafiri
U mean umeibuld kama robot au umetengeneza....pdf yake
 
Mtazamo wangu.
The first thing you need to know ni candlesticks zenyewe af ndo uingie kwenye price action.
Coz ukizijua utaona kbsa znavoingia kwenye price action.
Kuna kitabu cha candlesticks peke yake n kizuri sana maana kinaanzia mbali kbsa kwenye history ya kila candlestick.
Changamoto yake ni cha zamani kidogo so examples zao hua wanatumia stock market instead of currencies. Na kina mifano mingi sana.
Ukikisoma unaona kbsa kwanini candle flani iko ilivo na what happens ikikarbia kutokea na after kutokea nin kinafata na ziko mbalimbali.
After hapo its easy kumaster price action strategies.
Kwa indicators, mostly ni lagging lakini fibonacci ndo most time inakua accurate na haina kelele mingi.
Safi ila hapo hapo ktk candlestick kuna vitu havipo ktk vitabu alafu ndo muhim sana ,fibo nayo inakupa mwangaza zaid kwa sababu hutumika ktk market structure na ktk baadhi ya candle a
U mean umeibuld kama robot au umetengeneza....pdf yake
 
Sasa hio 20usd mtu akikupa unamtumia vp kama hata pdf huna mkuu
Njoo nikupe tripple candle confirmation strategy upige pesa muhimu uwe unaifahamu Advanced pure price action ...
NB: Sio bure not less than 100$ gharama.
 
Njoo nikupe tripple candle confirmation strategy upige pesa muhimu uwe unaifahamu Advanced pure price action ...
NB: Sio bure not less than 100$ gharama.
Mkuu uliwezaje kutrade angali kuelewa mada ya Uzi husika kwako ni shida...soma uelewe kisha fikiri kabla ya kucomment
 
Mkuu uliwezaje kutrade angali kuelewa mada ya Uzi husika kwako ni shida...soma uelewe kisha fikiri kabla ya kucomment
Not my concerns hapo , kama haujaelewa comment yangu ipuuze niko open minded
 
Back
Top Bottom