Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,304
- 830
Habari zenyuu,,
Hivi karibuni nimekuwa nikiexperience kufutika kwa Namba za Simu nilizokuwa nimesave kwa Truecaller,
kila ukisave upya badae hukuti jina ukibahatika unakuta namba tupu kwenye chati za SMS Messenger
Shida ni nini hii Wajuvi, Natumia Note 20 Ultra