Umewadadisi zaidi kuhusu Fiber? Kuna maeneo Fiber wanafunga bure. Na fiber yao inaanzia 50,000 kwa 20mbps. Mara 100 uchange na mtu na Fiber kuliko kuvuta Adsl.TTCL sometimes miyeyusho mkuu sio wakuweka asilimia zote kwa huduma yao ya copper
Majuzi kati mi nimeenda ofisini kwao pale uwanja wa ndege wakanijazisha form wakinilazimisha kuchagua fibre wakati copper mitaa yangu ipo.
Fibre ina gharama installation cost ni mamilion nikawaambia siwezi ku afford hiyo gaharama wakaniambia saizi wamepunguza bei inakaribiana na tu na copper.
Lakini baada ya kujaza form niliambiwa rudi halafu utapigiwa simu tutakuja eneo lako kufanya survey
Nilifikisha wiki bila kupigiwa simu nikawaona hawako serious nikaenda pale kwenye ofisi zao tazara sigara
Pale wakanijazaisha form halafu wakawa wananilazimisha nijaze option ya kampuni nisijaze personal
Baada ya mabishano yaliochukua muda ikabidi waniruhusu kujaza option ya personal.
Kama ilivyo kawaida nao wakaniambia tutakuja kufanya survey.
Hapa napo nilikaa wiki kama mbili hivi mpaka nilipooana uvumilivu umegika mwisho ikabidi nianze kuwasumbua kwenye simu kupitia customer care
Baada ya kama siku tatu wakanipigia wakisema wako mtaani tukaonana lakini walichokisema ndio kinashangaza
Waliniambia kwanza hizi copper za mtaa huu zina leakage kiasi cha kusababisha internet iwe ya ON&OFF
Wakaniambia kuna siku internet utakuwa huipati kuna siku utakuwa unaipata.
Nikawaambia basi mi nitavumilia nyie msinionee huruma niwekeeni hivyo hivyo.
Cha ajabu wakawa hawataki tena kuweka pamoja na kwamba nimeridhia kwa changamoto hiyo, wakawa wanajiuma uma tu wakilalamika kuwa haitakuwa fair ulipie huduma ambayo sio ya uhakika. Mara sijui kwanza hii huduma ya copper tunataka tu terminate isiwepo kabisa
Sasa kilichokuja kunichanganya ni oale walipokjwa wanasema nyaya hizo ni compatible kwa huduma ya voice tu, yani ukiwekewa huduma ya voice hakuna mkwamo wala kizuizi ila nyaya hizo hizo kwenye swala la internet zinakuwa kipengele.
Wakasepa bila kuniwekea, nikawapigia tena customer care nikawaambia mlikuwa na maana gani kuandika copper kwenye form yenu ilihali huduma zake ni za kusua sua
Customer care inaonekana waliwaita wale survey na kuwaambia kuhusu malalamiko yangu maana walinipigia simu wakiniambia watakuja kuniwekea hivyo hivyo
Mkuu nilitumia nguvu kubwa sana kuwa convice nipate internet ila wanazingua mnoUmewadadisi zaidi kuhusu Fiber? Kuna maeneo Fiber wanafunga bure. Na fiber yao inaanzia 50,000 kwa 20mbps. Mara 100 uchange na mtu na Fiber kuliko kuvuta Adsl.
Kwa hiyo full onstallation ni 55k hakuna hela zaidi ya hapo?Vifaa ni router ya Adsl na Converter inayo convert hiyo copper kuja waya wa kawaida unaoingia kwenye router.
Converter
View attachment 2258858
Router
View attachment 2258859
Kama unajiamini uhuru na msimbazi used adsl router zipo kibao, as cheap as 5000,
Official price ya TTCL ni 55,000 kwa setup fee, na ukiongea na Fundi anaweza kukusaidia kukutafutia vitu incase TTCL vimeisha.
Na kwa speed ni ya kawaida, huvuti adsl sababu ya Speed kubwa, adsl ina value tu, kwa familia zetu za kimasikini inatuokoa.
Mambo ya kawaida youtube, kudownload, netflix etc inafanya kama kawaida. Ila kitu chochote kinachotegemea upload speed itazingua.
Ndio ila mi sikulipa, nilinunua mwenyewe maana wao waliishiwa vifaaKwa hiyo full onstallation ni 55k hakuna hela zaidi ya hapo?
Mimi niliwaambia nje na hela yenu hiyo mi nitawapa fungu lingine nyie hakikisheni wazungu wamekaa hapa lakini wakafakisha
Wapo na ADSL ilitakiwa kuwa mkombozi nje ya maeneo yenye ukosefu wa home fiber kwa family zenye kipato cha chini inasaidia sana ila shida ni infrastructure maeneo mengi ya nje ya miji akuna kabisa au kuna fault za kutoshaHivi miaka hii bado kuna watu wanatumia ADSL? [emoji26][emoji26]
Una nunua tu ADSL MODEM WIREKESS AU YA KAWAIDA BEI HAIZIDI 55,000/= NA UKIOATA USED NI KAMA 30,000/=, HIYO TU YATOSHA, WANAKUJA WANAWKA WIRE NA SETTING KWENYE MODEM KWA KUTUMIA COMPUTER YAKO INTERNET TAYARI.Habari za wakati wadau;
Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika
installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa unaweza nunua mwenyewe je ni vifaa gan ivo
Speed yake ikoje? Nilikuwa napanga kutafuta hii huduma kwa ajili ya nyumbaniVifaa ni router ya Adsl na Converter inayo convert hiyo copper kuja waya wa kawaida unaoingia kwenye router.
Converter
View attachment 2258858
Router
View attachment 2258859
Kama unajiamini uhuru na msimbazi used adsl router zipo kibao, as cheap as 5000,
Official price ya TTCL ni 55,000 kwa setup fee, na ukiongea na Fundi anaweza kukusaidia kukutafutia vitu incase TTCL vimeisha.
Na kwa speed ni ya kawaida, huvuti adsl sababu ya Speed kubwa, adsl ina value tu, kwa familia zetu za kimasikini inatuokoa.
Mambo ya kawaida youtube, kudownload, netflix etc inafanya kama kawaida. Ila kitu chochote kinachotegemea upload speed itazingua.
Speed yake ni kiasi unacholipaSpeed yake ikoje? Nilikuwa napanga kutafuta hii huduma kwa ajili ya nyumbani
20mb/sec ni nzuri kwa youtube, ku download movie , na kuangalia mechi live za ligi za ulaya livetv.ru/enSpeed yake ikoje? Nilikuwa napanga kutafuta hii huduma kwa ajili ya nyumbani
20mbps ni Fiber, copper max 12mbps20mb/sec ni nzuri kwa youtube, ku download movie , na kuangalia mechi live za ligi za ulaya livetv.ru/en
Asante kwa shule mujarabu (darasa zuri)20mbps ni Fiber, copper max 12mbps
Installation ni bure unanunua modem tu. Speed ipo vizuri sio chini ya 12 mb/sec,Habari za wakati wadau;
Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika
installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa unaweza nunua mwenyewe je ni vifaa gan ivo
Ulifanikiwa mkuu?Installation ni bure unanunua modem tu. Speed ipo vizuri sio chini ya 12 mb/sec,
Hili u-enjoy yapasa kutokuzidi watu wangapi(device ngapi) wanaotumia kwa pamoja !?Installation ni bure unanunua modem tu. Speed ipo vizuri sio chini ya 12 mb/sec,
cc. Chief-MkwawaHili u-enjoy yapasa kutokuzidi watu wangapi(device ngapi) wanaotumia kwa pamoja !?
Nataka kufungia familia.