Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Inategemea na spidi unayohitaji.Hili u-enjoy yapasa kutokuzidi watu wangapi(device ngapi) wanaotumia kwa pamoja !?
Nataka kufungia familia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na spidi unayohitaji.Hili u-enjoy yapasa kutokuzidi watu wangapi(device ngapi) wanaotumia kwa pamoja !?
Nataka kufungia familia.
8mbps !?Inategemea na spidi unayohitaji.
Inategemea na matumizi na speed unayotumia, 4mbps watu wawili munaweza tumia kwa mpigo hata kama wote mna stream.Hili u-enjoy yapasa kutokuzidi watu wangapi(device ngapi) wanaotumia kwa pamoja !?
Nataka kufungia familia.
Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?TTCL sometimes miyeyusho mkuu sio wakuweka asilimia zote kwa huduma yao ya copper
Majuzi kati mi nimeenda ofisini kwao pale uwanja wa ndege wakanijazisha form wakinilazimisha kuchagua fibre wakati copper mitaa yangu ipo.
Fibre ina gharama installation cost ni mamilion nikawaambia siwezi ku afford hiyo gaharama wakaniambia saizi wamepunguza bei inakaribiana na tu na copper.
Lakini baada ya kujaza form niliambiwa rudi halafu utapigiwa simu tutakuja eneo lako kufanya survey
Nilifikisha wiki bila kupigiwa simu nikawaona hawako serious nikaenda pale kwenye ofisi zao tazara sigara
Pale wakanijazaisha form halafu wakawa wananilazimisha nijaze option ya kampuni nisijaze personal
Baada ya mabishano yaliochukua muda ikabidi waniruhusu kujaza option ya personal.
Kama ilivyo kawaida nao wakaniambia tutakuja kufanya survey.
Hapa napo nilikaa wiki kama mbili hivi mpaka nilipooana uvumilivu umegika mwisho ikabidi nianze kuwasumbua kwenye simu kupitia customer care
Baada ya kama siku tatu wakanipigia wakisema wako mtaani tukaonana lakini walichokisema ndio kinashangaza
Waliniambia kwanza hizi copper za mtaa huu zina leakage kiasi cha kusababisha internet iwe ya ON&OFF
Wakaniambia kuna siku internet utakuwa huipati kuna siku utakuwa unaipata.
Nikawaambia basi mi nitavumilia nyie msinionee huruma niwekeeni hivyo hivyo.
Cha ajabu wakawa hawataki tena kuweka pamoja na kwamba nimeridhia kwa changamoto hiyo, wakawa wanajiuma uma tu wakilalamika kuwa haitakuwa fair ulipie huduma ambayo sio ya uhakika. Mara sijui kwanza hii huduma ya copper tunataka tu terminate isiwepo kabisa
Sasa kilichokuja kunichanganya ni oale walipokjwa wanasema nyaya hizo ni compatible kwa huduma ya voice tu, yani ukiwekewa huduma ya voice hakuna mkwamo wala kizuizi ila nyaya hizo hizo kwenye swala la internet zinakuwa kipengele.
Wakasepa bila kuniwekea, nikawapigia tena customer care nikawaambia mlikuwa na maana gani kuandika copper kwenye form yenu ilihali huduma zake ni za kusua sua
Customer care inaonekana waliwaita wale survey na kuwaambia kuhusu malalamiko yangu maana walinipigia simu wakiniambia watakuja kuniwekea hivyo hivyo
50k kwa mwezi.8mbps !?
Kama wewe ni muhusika wa kampuni basi weka namba ya simu hapa tufanye mambo seriousNjoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k
COPPER Internet ni nafuu na gharama zake ni kama ifuatavyo;
4Mbps ni 25k
8Mbps ni 50k
12Mbps ni 80k
UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
Kuhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kwa pesa yako kama unasubiria tukuletee vifaa vya bure uvumilivu wako ni muhimu.
0736888668Kama wewe ni muhusika wa kampuni basi weka namba ya simu hapa tufanye mambo serious
Ndugu, maelezo uliyo yatia hapo juu ni kweli kabisa. Mimi huku naishi Sinza A opp na Mlimani City, nilikuwa natumia hiyo ya copper ambayo inaitwa Broadband tokea 2012 - 2013 baadaye nikaja tena kuitumia 2018 - 2019.TTCL sometimes miyeyusho mkuu sio wakuweka asilimia zote kwa huduma yao ya copper
Majuzi kati mi nimeenda ofisini kwao pale uwanja wa ndege wakanijazisha form wakinilazimisha kuchagua fibre wakati copper mitaa yangu ipo.
Fibre ina gharama installation cost ni mamilion nikawaambia siwezi ku afford hiyo gaharama wakaniambia saizi wamepunguza bei inakaribiana na tu na copper.
Lakini baada ya kujaza form niliambiwa rudi halafu utapigiwa simu tutakuja eneo lako kufanya survey
Nilifikisha wiki bila kupigiwa simu nikawaona hawako serious nikaenda pale kwenye ofisi zao tazara sigara
Pale wakanijazaisha form halafu wakawa wananilazimisha nijaze option ya kampuni nisijaze personal
Baada ya mabishano yaliochukua muda ikabidi waniruhusu kujaza option ya personal.
Kama ilivyo kawaida nao wakaniambia tutakuja kufanya survey.
Hapa napo nilikaa wiki kama mbili hivi mpaka nilipooana uvumilivu umegika mwisho ikabidi nianze kuwasumbua kwenye simu kupitia customer care
Baada ya kama siku tatu wakanipigia wakisema wako mtaani tukaonana lakini walichokisema ndio kinashangaza
Waliniambia kwanza hizi copper za mtaa huu zina leakage kiasi cha kusababisha internet iwe ya ON&OFF
Wakaniambia kuna siku internet utakuwa huipati kuna siku utakuwa unaipata.
Nikawaambia basi mi nitavumilia nyie msinionee huruma niwekeeni hivyo hivyo.
Cha ajabu wakawa hawataki tena kuweka pamoja na kwamba nimeridhia kwa changamoto hiyo, wakawa wanajiuma uma tu wakilalamika kuwa haitakuwa fair ulipie huduma ambayo sio ya uhakika. Mara sijui kwanza hii huduma ya copper tunataka tu terminate isiwepo kabisa
Sasa kilichokuja kunichanganya ni oale walipokjwa wanasema nyaya hizo ni compatible kwa huduma ya voice tu, yani ukiwekewa huduma ya voice hakuna mkwamo wala kizuizi ila nyaya hizo hizo kwenye swala la internet zinakuwa kipengele.
Wakasepa bila kuniwekea, nikawapigia tena customer care nikawaambia mlikuwa na maana gani kuandika copper kwenye form yenu ilihali huduma zake ni za kusua sua
Customer care inaonekana waliwaita wale survey na kuwaambia kuhusu malalamiko yangu maana walinipigia simu wakiniambia watakuja kuniwekea hivyo hivyo
Daah mimi nilifosi yani hata hiyo ya ON/OFF niliona poa tu kuliko daily shit ya mitandao ya simuNdugu, maelezo uliyo yatia hapo juu ni kweli kabisa. Mimi huku naishi Sinza A opp na Mlimani City, nilikuwa natumia hiyo ya copper ambayo inaitwa Broadband tokea 2012 - 2013 baadaye nikaja tena kuitumia 2018 - 2019.
Hali ilikuwa vile vile inakuwa ON/OFF ilikuwa ina umiza sana unakuta unalipia inakata wiki 2 mpka 3 na nilikuwa nalipia ya BRONZE SILVER cha Tshs 66,500/ cha speed ya 2MBPS.
Nikiwa zangu nyumbani mwezi wa 8 tarehe 04 hivi majira ya mchana natoka nje, nikakutana na mafundi nje wa TTCL wanaweka nyaya za FIBRE nikawauliza mnaweka nn wakasema tunaweka nyaya za FIBRE nikawauliza si nasikia kuwekewa ni mpka uwe na 1Mil wakasema hiyo ilikuwa zamani lakin sasa Mama ameondoa hizo gharama sasa kuwekewa ni bure, na unawekewa popote pale ulipo.
Nikasema, OK basi naomba mnidondoshee basi huo waya kwangu, wakaniwekea tena hadi ndani nyumbani ni waya mnene na mgumu sana kukunjika, na wakaniambia nikalipe makao makuu yangu ambayo ni hapo tu Sayansi KijitoNyama waje mafundi wanifanyie connection nipate huduma.
Ndugu, maelezo uliyo yatia hapo juu ni kweli kabisa. Mimi huku naishi Sinza A opp na Mlimani City, nilikuwa natumia hiyo ya copper ambayo inaitwa Broadband tokea 2012 - 2013 baadaye nikaja tena kuitumia 2018 - 2019.
Hali ilikuwa vile vile inakuwa ON/OFF ilikuwa ina umiza sana unakuta unalipia inakata wiki 2 mpka 3 na nilikuwa nalipia ya BRONZE SILVER cha Tshs 66,500/ cha speed ya 2MBPS.
Nikiwa zangu nyumbani mwezi wa 8 tarehe 04 hivi majira ya mchana natoka nje, nikakutana na mafundi nje wa TTCL wanaweka nyaya za FIBRE nikawauliza mnaweka nn wakasema tunaweka nyaya za FIBRE nikawauliza si nasikia kuwekewa ni mpka uwe na 1Mil wakasema hiyo ilikuwa zamani lakin sasa Mama ameondoa hizo gharama sasa kuwekewa ni bure, na unawekewa popote pale ulipo.
Nikasema, OK basi naomba mnidondoshee basi huo waya kwangu, wakaniwekea tena hadi ndani nyumbani ni waya mnene na mgumu sana kukunjika, na wakaniambia nikalipe makao makuu yangu ambayo ni hapo tu Sayansi KijitoNyama waje mafundi wanifanyie connection nipate huduma.
Hawa jamaa ni bure kabisa... nimeomba zaidi ya miezi 3 hata kuja kufanya survey hawajaja.
hii namba tangu jana inaita tu haipokelewi0736888668
hii namba tangu jana inaita tu haipokelewi
ok ngoja nimstuePiga tena
ok ngoja nimstue
Kigamboni mpo mkuuNjoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k
COPPER Internet ni nafuu na gharama zake ni kama ifuatavyo;
4Mbps ni 25k
8Mbps ni 50k
12Mbps ni 80k
UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
Kuhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kwa pesa yako kama unasubiria tukuletee vifaa vya bure uvumilivu wako ni muhimu.
Manzese Midizini hapa Nimewatext jamaa zako uliosema ni wa Survey kwa zile no ulizonipa hata kujibu hawajibuAu niandikie namba yake PM
Wee jamaa nimekutafuta sana mpaka nilikata tamaa nikajua huduma umeshafungiwa kumbe upo kimya kabisa.Manzese Midizini hapa Nimewatext jamaa zako uliosema ni wa Survey kwa zile no ulizonipa hata kujibu hawajibu
Mkuu, fiber hii nipo chamazi huku napata ?Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?