Msaada tuition nzuri kwa form one

NGOSWE2

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
1,323
Reaction score
1,608
Natafuta tuition nzuri kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza wilaya ya ILALA au TEMEKE. Tafadhari ndungu zangu nisaidieni nahitaji msaada wa haraka. Natanguliza shukurani.
 
mchikichini.....!@karume
 
Natafuta tuition nzuri kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza wilaya ya ILALA au TEMEKE. Tafadhari ndungu zangu nisaidieni nahitaji msaada wa haraka. Natanguliza shukurani.

Kwa Temeke nenda kituo kimoja wanaita kwa Ustadhi!!! Mtaa wa kuingia upo jirani na shule ya Msingi Unubini!!! Ni cha muda mrefu sana na kimetoa wanafunzi wengi re-seaters na QT kwa masomo ya A-Level hadi University!!! Kama utakuwa interested ni PM nitakutafutia namba ya mwalimu pale maana kuna jirani yangu anapeleka watoto wake pale.
 
University???
 
Natafuta tuition nzuri kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza wilaya ya ILALA au TEMEKE. Tafadhari ndungu zangu nisaidieni nahitaji msaada wa haraka. Natanguliza shukurani.

Kumbe mkuu ngoswe mwaka jana ulikuwa darasa la7
 
University???

Rudi kusoma upya post yangu. Nimesema hivi anatoa tution ya QT, Re-seaters na wanafaulu hadi kuingia A-Level na University. Tuition za pale zinaishia A level. Na Primary pia zipo ila Secondary ndiyo sana. Natumaini umenipata.
 
Nashukuru mkuu nitakutafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…