Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta tuition nzuri kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza wilaya ya ILALA au TEMEKE. Tafadhari ndungu zangu nisaidieni nahitaji msaada wa haraka. Natanguliza shukurani.
Natafuta tuition nzuri kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza wilaya ya ILALA au TEMEKE. Tafadhari ndungu zangu nisaidieni nahitaji msaada wa haraka. Natanguliza shukurani.
Kwa Temeke nenda kituo kimoja wanaita kwa Ustadhi!!! Mtaa wa kuingia upo jirani na shule ya Msingi Unubini!!! Ni cha muda mrefu sana na kimetoa wanafunzi wengi re-seaters na QT kwa masomo ya A-Level hadi University!!! Kama utakuwa interested ni PM nitakutafutia namba ya mwalimu pale maana kuna jirani yangu anapeleka watoto wake pale.
Natafuta tuition nzuri kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza wilaya ya ILALA au TEMEKE. Tafadhari ndungu zangu nisaidieni nahitaji msaada wa haraka. Natanguliza shukurani.
University???
Kumbe mkuu ngoswe mwaka jana ulikuwa darasa la7
Nashukuru mkuu nitakutafuta.Kwa Temeke nenda kituo kimoja wanaita kwa Ustadhi!!! Mtaa wa kuingia upo jirani na shule ya Msingi Unubini!!! Ni cha muda mrefu sana na kimetoa wanafunzi wengi re-seaters na QT kwa masomo ya A-Level hadi University!!! Kama utakuwa interested ni PM nitakutafutia namba ya mwalimu pale maana kuna jirani yangu anapeleka watoto wake pale.