Msaada, tumbo kujaa gas

Msaada, tumbo kujaa gas

KIFUSO

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
276
Reaction score
87
Mimi ni mgonjwa wa tumbo toka 2013. Niliwahi kwenda hospital Moro kwa deside nikapiga ultra sound na kuambiwa hamna kitu, nikapewa dawa zikanisaidia kiasi na ulabu nikawa nimesimama. Nilivyo kaa kama mwezi nikaanza kunywa tena, likaanza kutibuka tena, nikaenda Dar kufanya kipimo kilekile hospital ya dokta plaza Moroco na majibu yakatoka tumbo liko sawa.

Nikashauriwa na dr nikapime vidonda kwenye damu na choo bado jibu sina vidonda ,nikawa napewa dawa za gas maana nikila kutwa mzima linajaa gas kutwa nzima juzi kuna dawa ya gas nilipewa moroka nikatumia kifuniko toka hapo nikawa nimelitibua lina jaa na na nikila linapandsha kama kemikali inayonisababishia kwikwi mpaka mda huu sijalala nimekunywa maziwa na asili lakini bado kwikwi na juzi nilitumia shubiri haijanisaidia kesho naenda hospital.

Ushauri ndugu zangu na maombi
 
Hello kunadawa ya mimea na matunda ni nzuri kwa tatizo lako.kama kweli unataka kuondokana na tatizo lako nitafute 0683109166
 
Back
Top Bottom