Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Madokta hili tatizo linamsumbua huyu dada kwa mda mrefu sasa umri wake ni miaka 20 mara kwa mara hupatwa na maumivu makali chini ya kitovu, hasa anpokaribia hedhi katumia dawa nyingi za hospitali lakin maumivu hutulia kwa mda tu pia anapatwa na hedhi pasipo mpangilio maalum kama wanawake wengine!