Msaada tumbo kuuma mara kwa mara na hedhi haina muda maalum

Msaada tumbo kuuma mara kwa mara na hedhi haina muda maalum

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Madokta hili tatizo linamsumbua huyu dada kwa mda mrefu sasa umri wake ni miaka 20 mara kwa mara hupatwa na maumivu makali chini ya kitovu, hasa anpokaribia hedhi katumia dawa nyingi za hospitali lakin maumivu hutulia kwa mda tu pia anapatwa na hedhi pasipo mpangilio maalum kama wanawake wengine!
 
dokta wangu MziziMkavu na madokta wengine tafadhari msaada wenu hapa!
 
Last edited by a moderator:
dokta wangu MziziMkavu na madokta wengine tafadhari msaada wenu hapa!
Ana chango la uzazi huyo bibie akizaa tu matatizo yataondoka.

DAWA YA CHANGO KWA AKINA MAMA

Chukua dawa aina mbili 1 Kalkariyaat 2 Sanamaki halafu changanya kwa ujazo sawa. na hakikisha

imechanganyika vema

na zote ziwe za unga

kisha chota vijiko vinne na unaweka pamoja na maji lita moja halafu chemsha

yachemke hadi yakauke yabaki nusu lita kunywa kikombe asubuhi nakikombe usiku utafanya hivyo kwa siku kumi na moja.

NB: Hizo Dawa Zinapatikana kwenye Maduka wanayo uza Dawa za kisunna ukiuliza utapa hizo dawa.
 
Dawa za kissuna ndio zipo hizo mkuu? Nahitaji sana dawa ya chango la uzazi maana shemeji yako inamsumbua sana hii.
 
Dawa za kissuna ndio zipo hizo mkuu? Nahitaji sana dawa ya chango la uzazi maana shemeji yako inamsumbua sana hii.
Dawa za Kisunna ( 1 Kalkariyaat 2 Sanamaki) Kazitafute hizo Dawa za kisunna halafu fuata ushauri wangu hapo juu kama niliyo eleza kisha uje unipe feedback.
 
Dawa za Kisunna ( 1 Kalkariyaat 2 Sanamaki) Kazitafute hizo Dawa za kisunna halafu fuata ushauri wangu hapo juu kama niliyo eleza kisha uje unipe feedback.

Zinapatikana kwenye pharmacy za kawaida au ni dawa za kienyeji? Hapo sio sijakupata mkuu
 
Nashukuru mkuu,kwahiyo hii si mpaka azae,ni tiba ya kudumu?

ahsante sana MziziMkavu!
Kabla sijazitzfuta hizo dawa nami nina swali kama hili
inamana akitumia hiyo dozi matatizo yatatizo yatakwisha kabisa hata hasipo zaa?
Ahsante kwa mara nyingine dokta
 
Last edited by a moderator:
ahsante sana MziziMkavu!
Kabla sijazitzfuta hizo dawa nami nina swali kama hili
inamana akitumia hiyo dozi matatizo yatatizo yatakwisha kabisa hata hasipo zaa?
Ahsante kwa mara nyingine dokta
Wewe mpelekee Dawa zangu atumie mbona unauliza maswali kama wewe ndio mwenye hayo matatizo Yakhee?
 
dokta ! Kwani chanzo cha hili tatizo ni nini?
Dr.Chale alisema kuwa wengi waliokuwa wakisumbuliwa na tatizo hilo wamepona baada ya kuzaa.

Alisema kuwa, tatizo la kuumwa tumbo chini ya kitovu linatokana na njia ya uzazi kuwa ndogo hivyo kwa mwanamke mwenye nalo anatakiwa abebe ujauzito kisha azae ili njia ya uzazi iweze kutanuka.

"Hili hujitokeza hata kwa wanawake ambao wameshazaa, hivyo hufanyiwa uchunguzi na kama anaumwa tumbo mara chache hupewa dawa, lakini kama ni tatizo linalojirudia wengi hushauriwa kuzaa.

"Endapo tatizo hilo halitaisha, mgonjwa atafanyiwa uchunguzi wa kina zaidi kama kuna uvimbe au maambukizi ya magomjwa mbalimbali katika njia ya uzazi,"alisema Dk. Chale.
 
Wewe mpelekee Dawa zangu atumie mbona unauliza maswali kama wewe ndio mwenye hayo matatizo Yakhee?

Mkuu tatizo si wote ni wenyeji humu ndani,mimi huwa naona tu watu wakiraja jina lako lakini sijui hizo dawa zako zinapatikana wapi,kuuliza si ujinga pia ukizingatia umetoa tu maelezo ya matumizi ya dawa bila kueleza zinatibu vipi kwa maana ya kwamba ya kupunguza maumivu tu au kuondoa tatizo kabisa.

Halafu usiwe mkali,hiyo si hulka ya kitabibu.
 
awa dokta nisamehe kama swali langu limekukwaza
nitazitafuta hizo dawa
ahsante sana dokta wangu!
 
Ningeshauri ukafanye abdominal pelvic utrasound kwanza kabla ya kuaza matibabu
 
Back
Top Bottom