Ana chango la uzazi huyo bibie akizaa tu matatizo yataondoka.dokta wangu MziziMkavu na madokta wengine tafadhari msaada wenu hapa!
Ana chango la uzazi huyo bibie akizaa tu matatizo yataondoka.
DAWA YA CHANGO KWA AKINA MAMA
Chukua dawa aina mbili 1 Kalkariyaat 2 Sanamaki halafu changanya kwa ujazo sawa. na hakikisha
imechanganyika vema
na zote ziwe za unga
kisha chota vijiko vinne na unaweka pamoja na maji lita moja halafu chemsha
yachemke hadi yakauke yabaki nusu lita kunywa kikombe asubuhi nakikombe usiku utafanya hivyo kwa siku kumi na moja.
NB: Hizo Dawa Zinapatikana kwenye Maduka wanayo uza Dawa za kisunna ukiuliza utapa hizo dawa.
Dawa za Kisunna ( 1 Kalkariyaat 2 Sanamaki) Kazitafute hizo Dawa za kisunna halafu fuata ushauri wangu hapo juu kama niliyo eleza kisha uje unipe feedback.Dawa za kissuna ndio zipo hizo mkuu? Nahitaji sana dawa ya chango la uzazi maana shemeji yako inamsumbua sana hii.
Dawa za Kisunna ( 1 Kalkariyaat 2 Sanamaki) Kazitafute hizo Dawa za kisunna halafu fuata ushauri wangu hapo juu kama niliyo eleza kisha uje unipe feedback.
Zinapatikana kwenye pharmacy za kawaida au ni dawa za kienyeji? Hapo sio sijakupata mkuu
Nenda kwenye maduka ya dawa za kiasili Mfano stendi ya magari ya Mwenge au pale Kariakoo SokoniZinapatikana kwenye pharmacy za kawaida au ni dawa za kienyeji? Hapo sio sijakupata mkuu
Nenda kwenye maduka ya dawa za kiasili Mfano stendi ya magari ya Mwenge au pale Kariakoo Sokoni
Nashukuru mkuu,kwahiyo hii si mpaka azae,ni tiba ya kudumu?
Wewe mpelekee Dawa zangu atumie mbona unauliza maswali kama wewe ndio mwenye hayo matatizo Yakhee?ahsante sana MziziMkavu!
Kabla sijazitzfuta hizo dawa nami nina swali kama hili
inamana akitumia hiyo dozi matatizo yatatizo yatakwisha kabisa hata hasipo zaa?
Ahsante kwa mara nyingine dokta
Dr.Chale alisema kuwa wengi waliokuwa wakisumbuliwa na tatizo hilo wamepona baada ya kuzaa.dokta ! Kwani chanzo cha hili tatizo ni nini?
Wewe mpelekee Dawa zangu atumie mbona unauliza maswali kama wewe ndio mwenye hayo matatizo Yakhee?
MziziMkavu kwanini umzungushe? Mwambie aende kwenye maduka ya madawa ya kiarabu mkuu.Nenda kwenye maduka ya dawa za kiasili Mfano stendi ya magari ya Mwenge au pale Kariakoo Sokoni