Msaada: Tumepoteza kazi baada ya kudai haki zetu

Hizo haki zilizokuwa zinabinywa kama zinatambulika kisheria.Komaa mwanzo mwisho.Tena usirudi nyuma popote pale endelea kusimamia haki.Mungu atakuwa upande wako daima hata dunia nzima ikikutenga.Kila mwanadamu yupo kwa kusudi maalum hapa duniani.
 
Poleni, karibuni kitaa mdai haki yenu ya ku survive
 
Heri ya mwaka mpya.

Poleni kwa majanga, lakin nawapongeza kudai haki, mmesaidia wengine wengi japo mmelipa hiyo gharama. Nakuhakikishia mtapata kazi nyingine nzuri zaidi. Siungi mkono watu wanaoteseka makazini bila kudai stahiki zao, ni ujinga, ukizoea unakuwa mtu wa ajabu saana hata kwenye jamii.

Nirudi kwenye suala la kupoteza kazi...
1. Ongeza bidii kutafuta kazi nyingine, update CV yako, ongea na network yako kuwa unatafuta kazi, be positive, usiwe desperate, kazi utapata tuu.

2. Angalieni mwenendo wa mwajiri, aliajiri watu wengine kujaza nafasi zenu? Kama amefanya hivyo hapo ndo pakuanzia, na Kwa vile hakurekebisha yale ya mwanzo, basi mtaanzia hapo.
Tafuteni mwanasheria mzuri, asikilize kesi, sehemu ya malipo yake yawe kwenye matokeo ya kesi, mkiona anakataa hiyo mjue hapo hamna kitu. Achaneni nayo mtembee na YESU
 
Mku asante sana.
Kuna mada nimeianzisha hapo naomba uipitie.Mawazo ni muhimu sana
 
Mku hbr.
CMA wako wapi kwa hapa Dar.
Kwani na mm ninashida ya Msaada wa kisheria.Asante Mku
CMA DAR ES SALAAM ZONE

P.o.Box 79590 Dar es Salaam. In charge Honourable Yohane Massawe Mobile No: 0742989527

Cheki hayo mawasiliano hapo juuu
 
CMA DAR ES SALAAM ZONE

P.o.Box 79590 Dar es Salaam. In charge Honourable Yohane Massawe Mobile No: 0742989527

Cheki hayo mawasiliano hapo juuu
Asante sana Mku.
Kuna Tasisi moja ya Msaada wa Kisheria nimewapata ndo wameanza kuidrafti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…