Heri ya mwaka mpya.
Poleni kwa majanga, lakin nawapongeza kudai haki, mmesaidia wengine wengi japo mmelipa hiyo gharama. Nakuhakikishia mtapata kazi nyingine nzuri zaidi. Siungi mkono watu wanaoteseka makazini bila kudai stahiki zao, ni ujinga, ukizoea unakuwa mtu wa ajabu saana hata kwenye jamii.
Nirudi kwenye suala la kupoteza kazi...
1. Ongeza bidii kutafuta kazi nyingine, update CV yako, ongea na network yako kuwa unatafuta kazi, be positive, usiwe desperate, kazi utapata tuu.
2. Angalieni mwenendo wa mwajiri, aliajiri watu wengine kujaza nafasi zenu? Kama amefanya hivyo hapo ndo pakuanzia, na Kwa vile hakurekebisha yale ya mwanzo, basi mtaanzia hapo.
Tafuteni mwanasheria mzuri, asikilize kesi, sehemu ya malipo yake yawe kwenye matokeo ya kesi, mkiona anakataa hiyo mjue hapo hamna kitu. Achaneni nayo mtembee na YESU