ikiingia haipigi hodi. Ikinitokea hiyo nitaimba hallelujahWatu mnapenda sana kutinduana yani dogo ana miezi 4 mmeshakazana mpk mimba
Sio jambo jema kwa wanandoa kutoa ujauzito kwa sababu kama hii uliyoitaja wewe! Ukiendekeza huu mchezo, mkeo anaweza akajenga mazoea. Iko siku mkeo atapata ujauzito lakini mkakosana tu kidogo au yeye akawa hapendi kuwa na ujauzito basi akautoa na kukudanganya kuwa ujauzito huo umeharibika!Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .
Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.
Please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna Mtoto Jamani why?Mkuu
ikiingia haipigi hodi. Ikinitokea hiyo nitaimba hallelujah
Sipendi kuvua nguoHuna Mtoto Jamani why?
watoto ni furaha..ni pambo la nyumba.Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .
Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.
Please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhh!!! alisema "wafyatue" siyo wazae!!Dah...,
Baba Jesca alisema watu wazae elimu ni bure.
Mhhh!! miezi6!!! kwann sasa kama siyo kusalitiana tu!!Mm nilimpumzisha mama watoto miezi 6 halaf akaenda kuweka vijiti ndio tukaanza kujiachia vzr
Io aibu aipekiki...mkuu toeni io mimba..mtoto bdo mdogo sana...Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.