Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
PyjamaMpendwa unalalaga na nguo?
-Domhome-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PyjamaMpendwa unalalaga na nguo?
-Domhome-
Mkuu umekosea mwanamke akishazaa kizazi chake kinakua bado hakijafunga so mimba ni Dk sifuri tu inaingia,ulitakiwa kujizuia au ungepiga tu nyeto kuliko kumparamia huyo mama mtoto na ulishindwa nn kutumia condom,take care utasababisha matatizo kwa hicho kichanga chenu atanyonya maziwa yenye uchafu mwisho wa siku anadumaa gonga na condom
Tatizo hapa mwenzangu anasononeka sana, nimerudi home around saa 2 usiku huu naona mtu kaingia chumbani wakati najiandaa kuingia bafuni ghafla mtu anapigamagoti analia huku ananionyesha kipimo daah, nikachukulia kawaida nikamwambia relax tupange tufanyeje, hanielewi anasema mimi ndio nimesababisha na ninarohongumu sana isiyo ya kibinadamu kwa jinsi ninavyo chukulia kawaida hiliswala.Ni bahati nzuri tu mkuu mkeo aendelee kumnyonyesha mtoto kama atapenda. Matatizo yanakuja mtoto mpya anapozaliwa au morning sickness zinapozidi mnasahau kuwa huyu bado ni mtoto na anahitaji mapenzi.
Hata kama mkeo anakuhitaji jitahidi kuwa na muda na dogo hata mwingine akizaliwa
Aunty alipata mmoja January mwingine December, wameanza shule tarehe ya kuzaliwa mwalimu alifikiri wamekosea, mama aliambiwa apelike vyeti vya kuzaliwa, mwalimu ngachoka.
Tatizo hapa mwenzangu anasononeka sana, nimerudi home around saa 2 usiku huu naona mtu kaingia chumbani wakati najiandaa kuingia bafuni ghafla mtu anapigamagoti analia huku ananionyesha kipimo daah, nikachukulia kawaida nikamwambia relax tupange tufanyeje, hanielewi anasema mimi ndio nimesababisha na ninarohongumu sana isiyo ya kibinadamu kwa jinsi ninavyo chukulia kawaida hiliswala.
Nahisi inaweza ikamsumbua sana, kwa mawazo, hana raha kabisa ndio mana nawaza labda nitafute kidonge nii blowout.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hapa mwenzangu anasononeka sana, nimerudi home around saa 2 usiku huu naona mtu kaingia chumbani wakati najiandaa kuingia bafuni ghafla mtu anapigamagoti analia huku ananionyesha kipimo daah, nikachukulia kawaida nikamwambia relax tupange tufanyeje, hanielewi anasema mimi ndio nimesababisha na ninarohongumu sana isiyo ya kibinadamu kwa jinsi ninavyo chukulia kawaida hiliswala.
Nahisi inaweza ikamsumbua sana, kwa mawazo, hana raha kabisa ndio mana nawaza labda nitafute kidonge nii blowout.
Sent using Jamii Forums mobile app
So, can we below it out.hakuna effect yeyote kwa mtoto kunyonyesha.fanya maamuz as early as possble
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi watu mnaozungumzia Condom ndani ya ndoa Mnadhani ni kitu chepesi eeh! Kwanza hata kukumbukwa huwa haikumbukwi kama ipoMkuu umekosea mwanamke akishazaa kizazi chake kinakua bado hakijafunga so mimba ni Dk sifuri tu inaingia,ulitakiwa kujizuia au ungepiga tu nyeto kuliko kumparamia huyo mama mtoto na ulishindwa nn kutumia condom,take care utasababisha matatizo kwa hicho kichanga chenu atanyonya maziwa yenye uchafu mwisho wa siku anadumaa gonga na condom
Anasema anatamani aende kwao sababu mimi namsumbua kilamara napenda kumuomba unyumba.Kama mnaweza kwenda mapumziko asahau hiyo hali, pia washauri viongozi wa dini au wazazi waongee nae kama utashindwa. Ungechepuka angefurahi? Hii inaonyesha wewe ni mwaminifu kwa mke wako.
Hivi watu mnaozungumzia Condom ndani ya ndoa Mnadhani ni kitu chepesi eeh! Kwanza hata kukumbukwa huwa haikumbukwi kama ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema anatamani aende kwao sababu mimi namsumbua kilamara napenda kumuomba unyumba.
Kuhusu uaminifu nikweli huwa sipendi kuzurura hovyo, namuheshimu, ilasasa naanza kujilaumu kwamba labda ningechepukatuu kutokana na lawama anazonijazia na kilio juu.
Sent using Jamii Forums mobile app