Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Definitely!!!Dr. Sky Eclat kwa hyo KUMBE INARUHUSIWA KUMNYONYESHA MTOTO WAKAT MAMA NI MJAMZITO?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe umeoa na bado unafukuzia mabinti wa JF?
Huyo mtu ana ndoa kabisa kabisaa? Hahaha kwa kweli Mimi sijuiniliwah kutana na mtu ye kwake condom km kawa nikasema unaheri
Utathibitisha kuwa unaroho ngumu sana na mkatili endapo utayaendekeza mawazo yako hayo ya kukatisha uhai wa kiumbe asiye na hatia. Tunzeni mimba na mama aendelee kunyonyesha kama kawaida.So, can we below it out.
Na mtoto akaendelea kunyonya kama kawaida na hakuna effect yoyote?.
Maana nikama ya wiki 1 au 2 hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri bora kabisa.kinachofuata ni kugawa attention yao kwa uangalifu kwa huyo wa kwanza mara mtoto wa pili atakapozaliwa ili mkubwa asiwe rebellious.Sio jambo jema kwa wanandoa kutoa ujauzito kwa sababu kama hii uliyoitaja wewe! Ukiendekeza huu mchezo, mkeo anaweza akajenga mazoea. Iko siku mkeo atapata ujauzito lakini mkakosana tu kidogo au yeye akawa hapendi kuwa na ujauzito basi akautoa na kukudanganya kuwa ujauzito huo umeharibika!
Kwa sasa mkeo amnyonyeshe mtoto kwa miezi hata 6 ijayo ili huyu wa sasa afikishe mwaka mmoja halafu amwachishe! Wakati huo mama ujauzito wake utakuwa unaelekea au umefika miez 6. Kwa mda huo sidahani kama huyu mtoto atapata athali yoyote!
Kumbuka, hali hii haijakukuta peke yako, ni wanandoa wengi hukumbwa na tatizo kama hili hasa kwa mtoto wa kwanza na wa pili!
Kila la kheri!
Mkuu msifanye hivyo jamanTatizo hapa mwenzangu anasononeka sana, nimerudi home around saa 2 usiku huu naona mtu kaingia chumbani wakati najiandaa kuingia bafuni ghafla mtu anapigamagoti analia huku ananionyesha kipimo daah, nikachukulia kawaida nikamwambia relax tupange tufanyeje, hanielewi anasema mimi ndio nimesababisha na ninarohongumu sana isiyo ya kibinadamu kwa jinsi ninavyo chukulia kawaida hiliswala.
Nahisi inaweza ikamsumbua sana, kwa mawazo, hana raha kabisa ndio mana nawaza labda nitafute kidonge nii blowout.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu viongozi wa dini haina mantiki hata wazazi hakuna mantiki waende tu kwa dr.Kama mnaweza kwenda mapumziko asahau hiyo hali, pia washauri viongozi wa dini au wazazi waongee nae kama utashindwa. Ungechepuka angefurahi? Hii inaonyesha wewe ni mwaminifu kwa mke wako.
Ushauri murua kabisa huu! Viongozi wa dini wala wazazi hawana utaalamu na mambo ya afya! Ni madaktari pekee watakao msaidia kuondoa hofu aliyonayo!Kuhusu viongozi wa dini haina mantiki hata wazazi hakuna mantiki waende tu kwa dr.
Sent using Jamii Forums mobile app